COMBINE HARVESTER INAUNZWA

hassara

Member
Jan 27, 2016
47
3
COMBINE HARVESTER INAUNZWA
tunauza mashine ya kuvunia nafaka tofauti (COMBINE HARVESTER) ipo imara sana na inafaa sana kwa mazingira ya hapa kwetu inaweza kuishi mda mrefu na ni simple sana kuifanyia matengenezo pindi inapo haribika...kutoka Denmark na haijatumika hapa Tanzania..ukivuna msimu moja tu ekari 350 utakua umerejesha hiyo hela,,kama ni mkulima ikikupite hii utakuja kuitatuta kwani ni zana chache hapa nyumbani..
mashine ipo MBWENI Daresalaam
BEI NI MIL..34 TSH
tuwasiliane 0714242879 ..0713676035 au binjaba5000@hotmail.com

nakaribisha madalali pia.. nipigie au niandikie tuongee biashara faster..
 

Attachments

  • IMG-20150813-WA0007.jpg
    IMG-20150813-WA0007.jpg
    204 KB · Views: 26
  • IMG-20150813-WA0007[1].jpg
    IMG-20150813-WA0007[1].jpg
    204 KB · Views: 26
  • IMG-20150813-WA0008.jpg
    IMG-20150813-WA0008.jpg
    199.6 KB · Views: 27
  • IMG-20150813-WA0009.jpg
    IMG-20150813-WA0009.jpg
    196.7 KB · Views: 26

Similar Discussions

Back
Top Bottom