si umesoma hapo juu, kinachonifanya nivute-vute subira!Ujaoa unasubiri nn mkuu
Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.
Sema neno moja tu, na roho yangu itapona...!Mh! napita tuuu
Sema neno moja tu, na roho yangu itapona...!
Nasikia online relationship sio mzuri kabisa...ni sawa na long distance......Achana na umri njoo tusemezane hata mie natafuta mchumba.
Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.
Nasikia online relationship sio mzuri kabisa...ni sawa na long distance......
Swali lako limenikumbusha mbali Sana.Greetings All..!
Kwetu tumezaliwa watoto 6 wa kiume! Wote wameoa isipokuwa mimi. Hapa namaanisha hata wadogo zangu wameoa.
Ishu ni kwamba kati ya wote kuna waliooa umri sawa, umri unakaribiana, na wengine wameachana miaka 10.
Point ipo hapo, upi ni umri sahihi wa kufanya maisha na mwanamke! Hapo kuna matimbwiritimbwiri nayashuhudia ktk ndoa zote na hata kwa marafiki zangu, kiasi kwamba nabaki njia panda cjui wapi ni sahihi kujishikiza, nabaki najiuliza upi ni mchanganyiko kamili kama ituatavyo hapa chini:
Umri Mwanaume Umri Mwanamke Tofauti ya Umri
1. 34 26 8+
2. 37 38 1-
3. 40 22 18+
4. 33 33 0
5. 29 20 9+
6. 34 23 11+
NB: Kwanin wenye umri usiokaribiana huwa wanakuwa na maisha mzuri na matamu kuliko wenye umri unaokaribiana?.
Haya..tuanze..tumalize hapa hapa..na wadau washuhudie..sitaki lawama baadaeUtandawazi umeturahisishia, kwenye simu kila kitu tunamaliza.
Naomba niwe mshenga!! hahah...Haya..tuanze..tumalize hapa hapa..na wadau washuhudie..sitaki lawama baadae