Collateral kwenye Mapenzi!

Collateral kwenye Mapenzi!

God knows

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
276
Reaction score
173
Dhamana yako katika mapenzi ni nini? I mean kipi kinachokufanya uendelee kupata hilo penzi unalolipata. Je ni fedha, Mali ulizonazo, elimu au just mapenzi.

Au umeweka Collateral Moyo kwamba kama ukiachwa basi na thamani yako ya kuishi haipo tena?????????????????
 
Hv hata kwenye malovee kuna collateral? Mie nikajua ni benk 2 ndo wanataka dhamana za mikopo watoayo!
 
kazi kwelikweli, ni ile presence yangu anayoifil am sure kwingine hawez pata coz am so unique
 
Dhamana yako katika mapenzi ni nini? I mean kipi kinachokufanya uendelee kupata hilo penzi unalolipata. Je ni fedha, Mali ulizonazo, elimu au just mapenzi.

Au umeweka Collateral Moyo kwamba kama ukiachwa basi na thamani yako ya kuishi haipo tena?????????????????





Just true love
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom