Hivi hebu tuwe serious
kidogo..rafiki yako mchepuko..shemeji yako naye mchepuko...so
akikuchepukia unapata wapi moral ground za kuhoji kwa nini
amekutongoza???
Eti hatuna lolote wakati tusipowakuna mnalia na kutuendea kwa waganga,tena wewe unaongoza.
kuna sababu gani ya kusingizia kitu kama hicho kama kweli unajitambua
Aiseeeeeeee!!!!! nimeamini bangi ya uzeeni ni mbaya..
comment za div 6 peleka sehemu nyingine mkuu..utu uzima unahitajika hapa
Aaah ulivyokuwa unavuta bangi utotoni na sasa uzeeni zimekuchanganya mpaka unasema wanaume hawana lolote wakati kutwa nzima unawawinda!
Hujanikera bado hebu jitahidi labda utaweza!!!!!!!!!
Tatizo unaogopa ungeni pm contacts zako alafu tukakutana kisha tukaenda kupima ukimwi alafu tukae chemba 'tuongeee vizuri' naamini ningekukera na kisha ungeniambia kwa sauti chororo 'Albosignathus i love you pls do it again'.
marijuana ni hatari....unachizika huku unatembea