Collabo La Mashems

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
aaaaaaah yani Wanaume wetu nyie shida sana.

Habari wapendwa, natumai wote wazima pole mwenye matatizo ni challenges za kawaida katika maisha,

Najua wengi mtadai ooh kama mwanaume mmoja kafanya hayo basi usitugenelarize.....
Wengine mtadai hao ni wavulana wakati ni tabia mlizo nazo
Af wengine mtadai we umri gani kwani, mi ni matured na sio div 6(hakuna biashara matangazo hapo)

Limchepuko(Mwanaume) la rafiki yangu kipeenzi(mwanamke) alieolewa mwezi wa pili tu na bado wanapigana kiwizi wizi,
Limchepuko lile tulikuwa wote kwenye pilika pilika za maisha pamoja na huyu muhusika wake ( mwanamke) cha ajabu limchepuko lile linanigeukia mimi akidai kwamba yule dada kaolewa sasa bora tukae tuyapange tuunge/tufanye collabo.
Ofcz huyo mchepuko sio mdogo ni mtu na akili zake timamu.

SWALI: hivi ndugu zangu wapenzi wanaume hivi huwa mnawaza nini muda mwingine? kweli unajua huyu ni rafiki wa dem niliekuwa nambandua af mmeshakuwa kwenye mishe mishe kibao na jina la shemeji likihusika sana japo sio mwenye mali af inamfata kumtongoza ikimaanisha kwamba mnapitiwa?,mnajaribu mtu? unataka kumuumiza au kulipiza kisasi au nini?
Hii nimeona hata kwa wengine wakilalamika na wanaume kutongoza marafiki hata wa wake zao...wHat iz that?
Najua tabia hii ya kupenda mashemeji hata wadada tunayo saanaaaa...Mashostito hebu tuambiane we unachofata kwa bwana/mume/baby wa mwenzio ambako kwa libaby lako umekosa?hujaona kwa wengine au tatizo nini?

Kama ni baby,wanawake tunawapenda sana tena tunawapenda kwa moyo woote,tunajitahidi kufanya yale mbeibe mnayoyapenda lakini always wanaume mnatuangusha sana,tunalia sana nanyi jamani na ndo mana tunaamua kwenda kigumu tu,sasa mwanaume kama huyo hapo juu huyo hata kwenye ndoa ni hatari..
Najua mko wengi tu hata humu...

ANGALIZO: Matusi tupia pm.....kashfa na comment za Div6 sihitaji.....comments ziendane na mada plz


 
mmh!!,mamy ngoja naangalia movie ya bebi kwanza,ikiisha ntarudi kukomenti
 
Ni tamaa tu mara nyingi hakuna mapenzi ya kweli. Pia hayo mapenzi hayadumu kwa muda mrefu.
 
...mbona mada za leo zinakwamakwama?
..ntajitahidi nikusome..wapi?
...limchepuko?...collabo la mashems?
..anyways..pole sana
 
Ni tamaa tu mara nyingi hakuna mapenzi ya kweli. Pia hayo mapenzi hayadumu kwa muda mrefu.
Ni kweli kipenzi japo yanaanza kwa kasi ya ajabu, ujue ile ni kama dhulima....
 
Kabla mwanaume hajakutongoza anakusoma signal zako unazompa
 
...mbona mada za leo zinakwamakwama?
..ntajitahidi nikusome..wapi?
...limchepuko?...collabo la mashems?
..anyways..pole sana
Kaka waachie walioelewa bwana mi sipendi commedy hapa cz najua nimeandika nini
 
Kabla mwanaume hajakutongoza anakusoma signal zako unazompa
Na je kama hakuna signal yoyote? mtu unamchukulia kama unavyowachukulia wengine hapo utasemaje
 
Kikubwa ni tamaa tu twin hakuna kingine na bidada ukijiachia anamega kweli!!
 
Na wenyewe mnachangia...mnajiwekea mazingira na kujirahisisha pia. Ukimuoneshea sura ya kazi hawezi hata kuwaza huo uhayawani,lakini wewe unajichekesha chekesha na kujirahisisha lazima atakuchomekea CD tu.
 
Hiyo kauli yako 'Kumbandua' kwahiyo nae anataka akubandue! Umenifanya nitamani 'kukubandua kutokana na kauli yako.mambo?
 
la msingi ni kuwaombea wenye tabia hiyo

lakini sio wote wako hivyo kuna wanaume wapo makini sana haswa likija swala la mahusiano hulichukulia kama jambo la msingi ila wanaume wastahili hiyo hawapo makini hupuuza mambo ya msingi sana ikiwemo hilo la uhusiano

wenyewe kutongoza mwanamke na kulala nae ni jambo la kawaida wala haitaji kujua ana mpenda wala hampendi yeye ni kanyaga twende bwana kaizer anasema ingiza mkono upapase ukikutacho saizi yako
hivyo kama umempenda mwanaume wa stahili hii muombee kama hujampenda ACHANA NAE KABISA EPUKA UKIMWI(polepole kwa sauti ya kibonde)
 
Na wenyewe mnachangia...mnajiwekea mazingira na kujirahisisha pia. Ukimuoneshea sura ya kazi hawezi hata kuwaza huo uhayawani,lakini wewe unajichekesha chekesha na kujirahisisha lazima atakuchomekea CD tu.

hata hivyo wewe km mwanaume kwann usijicontrol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…