Col. Muammar Gaddafi akimbilia Zimbabwe!

Status
Not open for further replies.
Doh. Jamaa tayari mkimbizi? Alikimbiza sana wale aliowaita mende, wamelewa na majina mengine lukuki.
Sasa tumgeukie na sisi huyu kib*ka wetu.
Gadafi ni dikteta, huyu ni mzembe na fisadi, yote ni yale yale.
Tena ikiwezekana, atapotoka kwenda Washington DC, apotelee huko huko asirudi huko.
 
nimependa ujumbe wako wa "....U'R CURRENT VICTORY DOESNT CARRY SEEDS FOR U'R FUTURE DEFEATS"... UJUMBE UNAMFAA SANA GADAFF NA WANAOJIONA KUWA NI VIDUME NDANI YA NCHI ZAO
 
<br />
<br />
mkuu acha ndoto,jk atamaliza muda wake..then ndo 2tachukua nchi kwa njia ya demokrasia

yaani mkuu bado una ndoto za demokrasia tz? mkuu mimi ndo nakushauri acha hizo za kwako ndoto, wee hauoni hata mwaka haujaisha tangu achaguliwe mara ya pili tayari ameshashindwa? hivi unaweza ukamkuta mkeo chumba cha rafiki yako wamejifungia halafu useme bado unafanya uchunguzi km walikuwa wanafanya au la?
 
nakumbuka musseven pia alisema mwanamapinduzi ghadafi anakaribishwa uganda ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom