Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 18,967
- 55,070
Katika pita pita Zangu nimekutana na hii soda ya cocacola zero ya chupa ya udongo
Zamani nilizoea kuona zile za takeaway.
Sasa kitu nilichokiona kwenye maelezo ya kizibo yamenishtua sana ukizingatia watanzania wengi hatuna utaratibu wa kusoma maelezo.
Hizi coke zero pamoja na mambo mengine zina vitu vifuatavyo ndani yake.
1.Caramel
2.phosphoric acid
3.Aspartame hii ni sukari ya kutengeneza ni tofauti na sukari za asili kama ya miwa.
4. Sodium benzoate.
5. Caffeine etc...
Hizi soda ukinywa zina radha ya utamu kama coke ya kawaida lakini sukari iliyomo ndani sio sukari hali ni kemikali(artificial-aspartame), hizi nadhani walitoa makusudi kwa watu wenye tatizo wanapotumia sukari,kama wagongwa wa kisukari.
Point ya msingi ni kwamba hizi soda zimeeleza kwamba hazitakiwi kutumika na watu wa makundi yafuatayo.
1.Wajawazo.
2.Watoto.
3.Wanaonyonyesha
Hivyo tuwe makini,kuitambua soda hii ni rahisi,ina kifuniko cheusi tofauti na zile coke za kawaida,kama inavyoonekana hapo chini