Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,914
[emoji3] [emoji3] [emoji3] hadi watie adabu....TCU hatuendi na tukioenda hatusemi tukichoambiwa,mmezd michambo aisee....njoon dar kwa miguuWanatusema eti tunashindia chipsi mara dada zao hawatupendi , mara round moja chali , wakati dada zao wakija kufanya kazi mjini wanarudi wameshiba kitumbo , tumechoka sana bora tungekua tunasemwa na wanawake lakini wanaume wa mkoani ndio wanaongea sana[emoji16][emoji16]
Mi nipo musoma mkuuWrite your reply...kuku mweus we si upo dar ww.. Bora uende pale pale mzee
Cjakuelewa rudiaNaomba msaada wako ndugu nimepeleka barua ya kunitoa kwenye system tarehe 9.8.2018..had Leo Bado hata sjui nfanyaj na chuo nilichoomba naambiwa ninacode namba ya chuo Cha awali
Nenda kufanya clearance pale tcu kuna form ya re admission utapewa ujaze , kama kuna maelezo zaidi watakupatia pale watu wengi wameenda pale kufanya clearanceTareh 9.8.2018..nilpeka barua ya kucancell jina langu katika chuo nilchokua nasoma awal na ilipofika ya kuapply vyuo nkaappy Tena chuo kimoja tu lakin tcu Bado hawaja kancel jna langu Mana kile chuo nilichomba bado naambiwa ninacode namba ya chuo nilchokua nasoma mwazo Apo ndo shida ilipo ndigu
Ok nenda tcu kajaze form...kama haupo dar agiza mtu fastaMpaka sasa sijapata code
yani hapa sieelewi cha kufanya TCU ninmewatumia taarifa zote ila mpaka sasa hamna chochote....
hawa TCU wanaboa kweli...
nashindwa nifanye nini maana nipo mkoani...
deadline ya kukofirm ni tarehe kumi yan dah!!!
Utapewa form kama hiyo ujaze na maelezo kulingana na tatizo lako fanya harakaSawa nashukuru
Tayari taarifa.Cha kufanya toa taarifa kwa ADM WA chuo unachopenda