Code Alpha-95

Anawashusha wote wawili??🤔🤔🤔
Code ICE-SEED - Mission Complete
Agent: Doctor Frost
Status - SEEDING EXECUTED
Location☆ Classified – operation conducted under Polar Silence Protocol.

Taarifa ya ndani kutoka kwenye loop ya SIGMA-ROOM

Target-One (ñumero uno) physiological systems on slow-mode.
Cognitive lag detected – speech coherence dropping, alertness in flux."
Ufanisi wa Seeding Protocol unaonekana kwenye frequency ya hotuba zake, maneno hayajitoshelezi, maamuzi ni delayed, focus ni scattered.

ALPHA-PARLIAMENT
unadhani ilikuwaje??
Incident: Speaker-Exit
Status: Letter of stepping down broadcasted
Origin: UNKNOWN
Note: Handwriting analysis = mismatch
Speaker alikuwa off-grid, in Safe-Hold Rest Facility wakati taarifa yake ikisomwa LIVE-STREAM.

Chanzo cha barua? Ghost authorship suspected.
INTEL sources zinapendekeza ilikuwa part ya “Phase II of Neutralization”.

Code BRAVO-PM 72HR Flip
Hata yeye hakujua.
Prime Coordinator alikuwa tayari kuingia Podium Phase, akisubiri Swearing-In after bila kupingwa.
Protocol handlers walikuwa wame-set calendar ya victory mode.
LakLakini 72 hours before rollout – game changed.
Public announcement ya not seeking continuity ikashuka kama drone attack.

Was he aware?
Signals show he was out-of-loop, still in Pre-Celebration Sequence.

Code OMEGA-CALL
Now remains only one item.
How to brief the globe without triggering a System Meltdown.
There’s no straightforward channel, only shadows and mirrors.
The seed has bloomed.
Clock is ticking.
Containment no longer guaranteed.
 
Nchi inabakije bila old council? Wameamua new era na kumpa mzalendo? End of business as usual? But truly wana wa nchi watarejeshewa furaha yao iliyopokwa na cartel for long time.
Swali: old council yupi aliamuru hili? ( First, third or fifth?)
Fifth kidogo alikuwa na akili
 
New era beggins
 
Tuliambiwa harejei kutoka kisiwa cha milangilangi. Jee hakurudi? Ikitokea akawa karudi, haya yote ni mazingaombwe tu. Wenye vichwa vyao wanajua yaliyopo, ila hawajui yajayo kwani hayapo kwenye uwezo wao.
 
Tunaanza kuwachoka sasa na hayo macode yenu....kwani mkiandika vitu vya kueleweka mtapungukiwa nini? Au mnataka tuwaone nyinyi ni vichwa sana
 
Tunaanza kuwachoka sasa na hayo macode yenu....kwani mkiandika vitu vya kueleweka mtapungukiwa nini? Au mnataka tuwaone nyinyi ni vichwa sana
-VE

Tuungane nao tu mkuu
 
-VE

Tuungane nao tu mkuu
Bora hata yoga anaeleweka ila uzi huu nimeambulia patupu...matumizi yenyewe ya hizo marine code hawajui...kwa mafano nimeona kunasehemu wameipachika romeo na wakati kwenye code romeo haina maana yoyote bali iliwekwa ili kutimiliza mfumo wa code
 
Bora hata yoga anaeleweka ila uzi huu nimeambulia patupu...matumizi yenyewe ya hizo marine code hawajui...kwa mafano nimeona kunasehemu wameipachika romeo na wakati kwenye code romeo haina maana yoyote bali iliwekwa ili kutimiliza mfumo wa code
soma comments za wadau mkuu - wamefafanua fresh
 
Moderators kolezeni wino tusome wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…