Nyota ya Diamond inazidi kuwaka nchini Nigeria. Wimbo wa coco baby wa Waje aliomshirikisha msanii bilionea Diamond platnumz ndio the most requested song nchini Nigeria kwa sasa.
Hii ni kitu cha kupongezwa na kujivunia kwani tangu bongo fleva ianze imekuwa ndio ndoto tuliyoota itimie. kwa sasa tunawataka kina diamond wengi waongezeke.
Diamond is too big to be killed by clouds fm. Clouds fm ombeni msamaha kwa diamond kwa kitendo cha kutaka kumbomoa siku ile ya fiesta lakini mkashindwa vibaya. Huyo Ali kiba wenu yes ni msanii mzuri lakini he is not outward looking, he is too indegenous