Coca Cola Kwanza wamwaga ajira, nafasi 47

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
Wadau kama unaweza lipata gazeti la mwananchi la leo,coca cola kwanza wamemwaga ajira!

Kila kitu kinajieleza kwenye gazeti la mwananchi!!
 
All interested applicants please submit your applications reference RAD1114 to :
Coca-Cola Kwanza,
HR Department,
P.O. BOX 7813,
Dar es Salaam.

msaada pls ! hapo kwenye alama nyekundu anamanisha nini?

Chini ya tarehe kwenye barua weka Re: RAD1114
Lakini nakushauri utumie njia ya email, achana na barua.
 
Kang; Dah Mungu wangu nimeshapeleka with handwritten application sijaandika hiyo reference number ila nimeandika position ninayoomba nje juu ya barua....

MUNGU NIKUMBUKE MAISHA YA KUKAA NYUMBANI MPAKA LINI?

Halafu nilipofika pale nimewakuta mkaka na mdada nikawasalimu nakuongea na mlinzi then yule dada mlinzi akasema barua weka hapa tutapelekea wale wakaka wakasema nataka kuonana na HR wakawaruhusu walishika bahasha hii imenistua kidogo...anyway Namwachia Mungu ili mradi nimekidhi vigezo walivyovitoa na kupita naamini hatua itakayofuata ni Mungu pekee ndiye atafanya.
 
Last edited by a moderator:

Siku zote usimwachie security barua yako ya kazi!! Peleka mwenyewe ndani ofisi ya HR
 
Last edited by a moderator:
Jamani Wengine Mngewasaidia Kuwawekea Sababu Hadi Kuyapata Magazeti Yenyewe Ni Vigumu.
 
Ilikuwa hairuhusiwi kuingia ndani...mpaka uwe na appointment.

Waongo hao! Kuonana na HR hadi uwe na miadi naye?? MD si ndo utaambiwa kua andika barua ya kuomba kuonana nae
 
Aisee hao walinzi wana sumbuaa.. Usiombe ukutane na wale wa Mohammed Builders... Sijui wana hisa katika kampuni, au wanalipwa million moja jwa mwezi?
 
Hahahahaha pole sana kamanda! Next time komanaa nao tu!

Kwa mfano wakikuzingua next time,sehemu yoyote ile just tafuna mwana anayefanya kazi pale,mweleze shida yako,zeni utaingia nae getini,zen unafanya yako!!
 
kiongozi naomba msaada zaidi kwani nimejaribu kuapply kwahiyo email kitu haiendi. plz nisaidie kiongozi. weekend njema
 
Back
Top Bottom