Bora umemjulisha, CCKL ilichukua jina kwa iliyokuwa Tanzania bottlers Ltd iliyokuwa ikimilikiwa na Manek. Mengi alitia fitna kwa Cocacola Africa kuwa kampuni ilikuwa haina uwezo wa kutimiliza patents za corporate agreements na kwa kuonesha mafanikio ya Bonite basi akawapora wale wahindi haki ya kutengeneza na kusambaza bidhaa za cocacola. Alijaribu pia kuingiza Dasan kwenye soko but wahindi wali-mfix ikadorora. Sina shaka baada ya mda mfupi atarudi kwenye biashara yake ya awali ya kungarisha viatu maana biashara zake zote zinafilisika.