Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
Huu wimbo ni story ya kweli ya Dolly, alizaliwa kwenye familia ya watoto 12, walikua kwenye umaskini wa hali ya juu na siku moja mama yake alimshonea koti lenye rangi nyingi sababu ya kuunganisha vipande vya nguo, alipoenda nalo shule wenzake walimcheka sana na yeye wala hakuumia zaidi aliwashangaa sababu mama yake alishamwambia kua Joseph/nabii Yusuph aliwahi kuvaa koti la namna ile na baadae akaja kua mtu mashuhuri na mwenye pesa kwa hiyo aliamini hivyo na Mungu mkubwa ikatokea kweli.
Dolly alishasema mara nyingi kua huu wimbo ni wimbo aupendao kuliko nyimbo zake zote na utabaki kua hivyo sababu unaakisi maisha yake halisi lakini pia unabeba maisha ya watoto wengine wenye uhitaji.
Unajua lile koti aliloshonewa na mama yake lipo? amazing hunh! amelihifadhi katika Museum yake na limekua 'famous coat'.
Ujumbe ni kua usijione maskini kwa mavazi yako, malazi yako au hata chakula chako, Upendo, Amani na Furaha ni utajiri tosha.
"... One is only poor only if they choose to be..."
Tuwapende na kuwathamini watoto wenye uhitaji, ukaribu wetu kwao ndio faraja na furaha yao.
ThrowBackThursday.
Bila haya maelezo nahis ningeona kama lyrics za kawaida tuHuu wimbo ni story ya kweli ya Dolly, alizaliwa kwenye familia ya watoto 12, walikua kwenye umaskini wa hali ya juu na siku moja mama yake alimshonea koti lenye rangi nyingi sababu ya kuunganisha vipande vya nguo, alipoenda nalo shule wenzake walimcheka sana na yeye wala hakuumia zaidi aliwashangaa sababu mama yake alishamwambia kua Joseph/nabii Yusuph aliwahi kuvaa koti la namna ile na baadae akaja kua mtu mashuhuri na mwenye pesa kwa hiyo aliamini hivyo na Mungu mkubwa ikatokea kweli.
Dolly alishasema mara nyingi kua huu wimbo ni wimbo aupendao kuliko nyimbo zake zote na utabaki kua hivyo sababu unaakisi maisha yake halisi lakini pia unabeba maisha ya watoto wengine wenye uhitaji.
Unajua lile koti aliloshonewa na mama yake lipo? amazing hunh! amelihifadhi katika Museum yake na limekua 'famous coat'.
Ujumbe ni kua usijione maskini kwa mavazi yako, malazi yako au hata chakula chako, Upendo, Amani na Furaha ni utajiri tosha.
"... One is only poor only if they choose to be..."
Tuwapende na kuwathamini watoto wenye uhitaji, ukaribu wetu kwao ndio faraja na furaha yao.
ThrowBackThursday.
umenikumbusha mbaaliDolly Parton - Coat Of Many Colors.
Back through the years I go wanderin' once again
Back to the seasons of my youth
I recall a box of rags that someone gave us
And how my momma put the rags to use
There were rags of many colors
But every piece was small
And I didn't have a coat
And it was way down in the fall
Momma sewed the rags together
Sewin' every piece with love
She made my coat of many colors
That I was so proud of
As she sewed, she told a story
From The Bible, she had read
About a coat of many colors
Joseph wore and then she said
"Perhaps this coat will bring you
Good luck and happiness"
And I just couldn't wait to wear it
And momma blessed it with a kiss
My coat of many colors
That my momma made for me
Made only from rags
But I wore it so proudly
Although we had no money
Oh, I was rich as I could be
In my coat of many colors
My momma made for me
So with patches on my britches
And holes in both my shoes
In my coat of many colors
I hurried off to school
Just to find the others laughing
And making fun of me
And my coat of many colors
My momma made for me
And oh I couldn't understand it
For I felt I was rich
And I told them of the love
My momma sewed in every stitch
And I told 'em all the story
Momma told me while she sewed
And how my coat of many colors
Was worth more than all their clothes
But they didn't understand it
And I tried to make them see
That one is only poor
Only if they choose to be
Now I know we had no money
But I was rich as I could be
In my coat of many colors
My momma made for me
Made just for me.
Aisee haunizidi mie[emoji4] kuna huu, na alioimba na Kenny Rogers "Islands In The Stream"Naupenda sana huu wimbo...
"I know we had no money,but I was rich as i could be.."
Hapana hunizidi mimi 'xander😊😊Aisee haunizidi mie[emoji4]
Don get mad, get even... whoohDont get Mad, Get ahead
KaribuuuuNzuri sanaa.
Hahaha.... glad i helped.Bila haya maelezo nahis ningeona kama lyrics za kawaida tu
wacha weee enzi zileeee upo New Jersey.umenikumbusha mbaali
Karibuuu.Safi sana mkuu
Mashairi yanagusa mpaka kwenye sakafu ya moyo.Naupenda sana huu wimbo...
"I know we had no money,but I was rich as i could be.."
Ile combination ilikua hatari sanaaaa.Aisee haunizidi mie[emoji4] kuna huu, na alioimba na Kenny Rogers "Islands In The Stream"
Karibuuu.Nimejifunza kitu ahsante Mkuu