COASTER ya kukodi toka dar mpaka Bagamoyo

COASTER ya kukodi toka dar mpaka Bagamoyo

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
2,896
Reaction score
1,214
Wakuu mwenye ujuzi na hii route anipe majibu ya gharama sahihi za kukodi gar toka dar kwenda bagamoyo kwenda na kurudi itakuwa n shiling ngap za kitanzania,
 
Kisa umeenda jana ndo unataka kujua nauli c ungemuuliza dereva wako?

Umeelewa maaana ya swali langu?au umekurupuka baaada ya kutatuliwa linda la 0713?
Hiz ndo div 5 zilizojazana huku jf
 
Bei ni maelewano ,nenda kaongee nao pale Mwenge
 
Back
Top Bottom