Coastal Union vs Mtibwa Sugar

Coastal Union vs Mtibwa Sugar

Dakika ya 80 Atupele Green anaifungia Coastal goli lake la kwanza
katika ligi
Coastal Union 3-1 Mtibwa
 
Full time kutoka CCM Mkwakwani, Taifa Road Barabara ya 1,
Coastal Union 3 - 1 Mtibwa Sugar
Juma Jabu
Daniel Lyanga
Atupele Green
 
wanajuaga kuifunga yanga tu, mitimu ya tanzania ndo mana soka aikui,. Kazi kukamia mechi 1

Wewe ulitakaje? Kama mechi yao na Yanga walikuwa katika mazingira mazuri ya kupata ushindi je?
 
..............shukurani kwa taarifa..............
 
ndo mechi ya yanga tu, wanamazingira mazuri

Take you time to research.
Ujue Mtibwa wamecheza mechi ngapi na wameshinda ngapi. Game vs Yanga walikuwa nyumbani wakati mechi na CUSC wako ugenini. Acha ushabiki maandazi...
 
Back
Top Bottom