Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,228
Yanga ndio wako bafuni wanaoga! Wanaume wamehafanya yao! Kimoko cha Ng'nguvu!!
Yanga ngapi ngapi
Zuhura naskia ameenda kuishtaki mtibwa tff kua ilipuliza sumu kwenye chumba cha yanga walichokua wakiadilishia nguoZahera anasemaje
Ataanzisha harambee huko huko MoroEheheheeee.... Zuhura hajalia???