CNN: US Government Hacked Again

CNN: US Government Hacked Again

herzygovina mwangosi

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
900
Reaction score
431
Washington (CNN)Four million current and former federal employees, from nearly every government agency, might have had their personal information stolen by Chinese hackers, U.S. investigators said.

U.S. officials believe this could be the biggest breach ever of the government's computer networks. China called the allegation irresponsible.

The Office of Personnel Management, which is conducting background checks, warned it was urging potential victims to monitor their financial statements and get new credit reports.

The breach was initially thought to have impacted the Office of Personnel Management and the Department of Interior, But government officials said nearly every federal government agency was hit by the hackers.
 
Ila USA wana michezo michafu unaweza kuta wanatafuta njama tu za kumshusha mchina kiuchumi so wanamuanza taratibu
 
Wachochezi tu hao hawana lolote kama wamegundua walishindwaje kuwazuia
 
Mi naona kuna uzushi fulani. Kama wamefanyiwa hivyo wasingeweka mambo hadharani. Ila kiukweli ni kwamba Chinese na russians huwa wana hack sana kwenye securities za america hasa jeshini.
Nchi kama China some hackers wanakuwa sponsered na serikali yenyewe...
 
Mi naona kuna uzushi fulani. Kama wamefanyiwa hivyo wasingeweka mambo hadharani. Ila kiukweli ni kwamba Chinese na russians huwa wana hack sana kwenye securities za america hasa jeshini.
Nchi kama China some hackers wanakuwa sponsered na serikali yenyewe...

Lakini hata Marekani nadhani inafanya sana huo mchezo. Sema tu labda wao Wamarekani huwa wanaamua kutangaza (kwa kiasi fulani) na huko kwingine huwa hawatangazi.
 
Aminia kwamba hata USA huwa ina hack sana mitandao ya wengine.

To know a hacker you have to be a hacker.
Baada ya haka ka-Snowden kuchikichia Russia, hawa Chines and Russians wamekuwa na uwezo wa ajabu wa ku-hack network za Marekani!.
 
Baada ya haka ka-Snowden kuchikichia Russia, hawa Chines and Russians wamekuwa na uwezo wa ajabu wa ku-hack network za Marekani!.

Propaganda wanatafuta tu sababu ya kuleta comflict na wenzanke hakuna cha ku hack wala nini marekani ilivyo issue kama hiyo wasingesema
 
Hao sasa wanalalamika nini?au ndio mwizi akiibiwa? Maana wao walikuwa wakidukua mawasiliano.ya Counselor Angela Merkel na Hugo Chavez huo ni upuuzi tuu umewazidi na propaganda zao ni chafu
 
Wanapika vita tu hawa wanaona gele na uchumi wa china
 
Obama: Did you try to hack my system?!

Merkel: You hacked mine too!, how about that!
 

Attachments

  • heres-a-great-photo-of-angela-merkel-and-barack-obama-hanging-out-at-the-g-7-summit.jpg
    heres-a-great-photo-of-angela-merkel-and-barack-obama-hanging-out-at-the-g-7-summit.jpg
    755.7 KB · Views: 149
Back
Top Bottom