CCTV ya Kichina ndio inaelekea kuwakata ngebe CNN na FOX News kwa kutotangaza habari ambazo ziko biased. Kusema kweli historia ya Merikani tangu kumalizika kwa vita vya pili vya dunia kunatia simanzi sana - wao ndio wanaongoza kuvamia nchi nyingine, kupinduwa Serikali halali za mataifa mengine kwa kuwatumia wasaliti na mamluki, sasa hivi wanatafuta mbinu za kuizingira China kwa kuanzisha urafiki wa kinafki na nchi jarani na China na wakati mwingine kuwa-instigate majirani hao wahanzishe vurugu za kuilahumu Uchina kwamba ni bully, hawataki China hiwe Super Power kijeshi na kiuchumi kama wao.
Merikani ndio inaongoza katika utengenezaji wa silaha za kibailojia na depleted URANIUM na kuzijaribu kwa watu weusi na Waarabu wakati wa vita na IRAQ. Sadam Hussein alipewa silaha za kibailojia na Merikani ili zitumike katika vita kati ya IRAQ na IRAN, aliye fanikisha zoezi hilo alikuwa ni Rumsfield (former Defence Secretary) of all people - baadae mtu huyo kamgehuka Sadam na kutoa amri ya kumunyonga, kasahau kabisa arafiki wao wa zamani!!!
OSAMA naye mbinu za kutengeneza mabomu na ku-recruit wapiganaji alipewa na Wamerikani hao hao ili wakabiliane na Warusi walikuwa Afghanistani wakati huo, the list ya maovu ya TAIFA hilo kwa binadamu wenzao ni endless. Nikiwasikia wanalalama kuhusu ugaidi huwa nawashangaa sana! Kama ni ugahidi, wao ndio vinara wa fani hiyo.