Biashara gani hiyo? Nitumie inbox nimfowadie mheshimiwa [emoji23][emoji23]Nasikia anafanya biashara ndani ya mziki
mi nataka t shirt ya bichwa la chibu...sijui ntapata wapi
Kwani Alikiba pekee ndiye aliyeimba na R Kelly?Amanunua air time CNN si unajua ujanja ujanja. How come Ali Kiba ashaimba na R. Kelly lakini hawamuoni? Hizi ni fitna za waziwazi
Muulize mzaramo analijua hiliBiashara gani hiyo? Nitumie inbox nimfowadie mheshimiwa [emoji23][emoji23]
Siyo hapendi .Hajui anachotakiwa kufanya....sababu ya management mbovu na majivuno yasiyo na maanaNa ndiko kunakomponza huko. Ataishia kuuza mziki wake Tabata akizid sana kigoma