"CMOS failed !" kiwenye computer naomba msaada

QUALIFIED

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
773
Reaction score
119
Habari wadau,

kuna toshiba inaniandikia cmos failed nfanye nini kusolve tatizo hili
 
Badili cmos battery maana hiyo bettery inahitajika kubadilishwa kila baada ya miaka 5
 
mbona nikijaribu kuweka charge na kuwasha bila betri pia inaleta same txt
 
sio betri ya laptop mkuu..ni cmos battery...ni ka betri flani hivi kama ka calculator

huwa kanakuwa kwenye motherboard..kuna baadhi ya pc ukifungua tu mifuniko ya nyuma ya pc..mf sehem ya ram au hdd au ukiweza kutoa keyboard unaweza kuiona ILA kuna nyingine mpaka uifungue pc yote ndo unaweza kuifikia, kama huna uhakika ni bora utafute mtu mzoefu akubadilishie..kwa msaada zaidi:
Google Image Result for http://www.allabouthappylife.com/acer_ferrari_5000/acer_ferrari_5000_detach-rtc-battery.jpg
 
asante mkuu ngoja nifanyie kazi ushauri
 
Problem solved nime install another windows version and problem gone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…