QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Jun 5, 2014 #1 Habari wadau, kuna toshiba inaniandikia cmos failed nfanye nini kusolve tatizo hili
T tabibu Member Joined Dec 7, 2011 Posts 34 Reaction score 1 Jun 6, 2014 #2 Badili cmos battery maana hiyo bettery inahitajika kubadilishwa kila baada ya miaka 5
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Jun 6, 2014 Thread starter #3 mbona nikijaribu kuweka charge na kuwasha bila betri pia inaleta same txt
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,292 Jun 6, 2014 #4 sio betri ya laptop mkuu..ni cmos battery...ni ka betri flani hivi kama ka calculator huwa kanakuwa kwenye motherboard..kuna baadhi ya pc ukifungua tu mifuniko ya nyuma ya pc..mf sehem ya ram au hdd au ukiweza kutoa keyboard unaweza kuiona ILA kuna nyingine mpaka uifungue pc yote ndo unaweza kuifikia, kama huna uhakika ni bora utafute mtu mzoefu akubadilishie..kwa msaada zaidi: Google Image Result for http://www.allabouthappylife.com/acer_ferrari_5000/acer_ferrari_5000_detach-rtc-battery.jpg
sio betri ya laptop mkuu..ni cmos battery...ni ka betri flani hivi kama ka calculator huwa kanakuwa kwenye motherboard..kuna baadhi ya pc ukifungua tu mifuniko ya nyuma ya pc..mf sehem ya ram au hdd au ukiweza kutoa keyboard unaweza kuiona ILA kuna nyingine mpaka uifungue pc yote ndo unaweza kuifikia, kama huna uhakika ni bora utafute mtu mzoefu akubadilishie..kwa msaada zaidi: Google Image Result for http://www.allabouthappylife.com/acer_ferrari_5000/acer_ferrari_5000_detach-rtc-battery.jpg
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Jun 6, 2014 Thread starter #5 asante mkuu ngoja nifanyie kazi ushauri
QUALIFIED JF-Expert Member Joined Jun 13, 2012 Posts 773 Reaction score 119 Dec 16, 2014 Thread starter #6 Problem solved nime install another windows version and problem gone