Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,446
- 3,319
Haijatokea redio ya kuwapa challenge kiukweli tuwe wawazi, japo kwenye tv hawana kitu
Efm kipindi kinachonicjefua zaidi ni uhondo. Kila kijingle cha uhondooooo. Bado kuna swebe Sijui anaongeaga nini. Makelele mtindo mmoja ,,√Clouds especially clouds fm wanajua ni nini kinachotakiwa kufanyika na kwa muda gani
√East africa radio atleast kipindi cha nyuma ndo walikuwa wanaweza kuwachallange hawa jamaa ila hawa Efm ukiacha sports crew yao hakuna kipya..