Clubs za Starehe ziweke zuio la kupiga picha

Ricky Blair

JF-Expert Member
Mar 13, 2023
391
873
Jamani muda umefika clubs za starehe au sehemu zozote tu waweke masharti ya kuzuia watu kupiga picha ovyo tu especially kama kuna wengine wanaweza kutokea ambao hawana mpango wa kutokea;

coz haya mambo mtu umejificha zako sehemu ghafla unajikuta kwa Insta story au post ya mtu na mtu fulani kwa maisha yako anakucharukia Ehe ulikuwa wapi na unafanya nini hapa when uliaga vingine😡😡😡😡and mbaya zaidi kama kweli ulitokea na mtu mwingine!

Kafanyeni Mirror selfies chooni huko aisee. Tumewachoka
 
Jamani muda umefika clubs za starehe au sehemu zozote tu waweke masharti ya kuzuia watu kupiga picha ovyo tu especially kama kuna wengine wanaweza kutokea ambao hawana mpango wa kutokea; coz Haya mambo mtu umejificha zako sehemu ghafla unajikuta kwa Insta story au post ya mtu na mtu fulani kwa maisha yako anakucharukia Ehe ulikuwa wapi na unafanya nini hapa when uliaga vingine😡😡😡😡and mbaya zaidi kama kweli ulitokea na mtu mwingine!!!! Kafanyeni Mirror selfies chooni huko aisee. Tumewachoka
Suluhisho usiwe unaenda hizo sehemu
 
Yani bora umesema hii imekua too much alf sana sana wadada.
 
Back
Top Bottom