rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,601 Apr 3, 2015 #1 Soda hii pamoja na tonic water ni soda ambazo ladha yake inapendwa na watu maalum. Mimi niliinywa kwa mara ya kwanza katika mazingira tatanishi kdg. Je wenzangu yaliwakuta yapi mlipokunywa soda hii kwa mara ya kwanza.
Soda hii pamoja na tonic water ni soda ambazo ladha yake inapendwa na watu maalum. Mimi niliinywa kwa mara ya kwanza katika mazingira tatanishi kdg. Je wenzangu yaliwakuta yapi mlipokunywa soda hii kwa mara ya kwanza.
T the agent Member Joined Jan 2, 2015 Posts 56 Reaction score 40 Apr 3, 2015 #2 Kwenye konyagi mixer safi
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 Apr 3, 2015 #3 Mr ebbo R.I.P amewahi kusema soda chungu kama magadi halafu wanauza makusudi