jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
Mkuu hii speed hata Joseverest lazima achemke.ngoja waje.
Unakielehele sana toa hoja sio kukimbilia kama mdada kaona nyokangoja waje.
ukijiheshimu utaheshimiwa.Unakielehele sana toa hoja sio kukimbilia na mdada kaona nyoka
Swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakielehele sana toa hoja sio kukimbilia kama mdada kaona nyoka
Swissme
Itanchukua muda mrefu,wako wajuzi wa mambo huku.Mzee huzijui ngoma zote latest? Chkua kwanza virtual dj then tupia good music humo ndan alaf anza kumix madude!
Ghaaa kwa lipi hilo nikueshimu mkosa hoja weweukijiheshimu utaheshimiwa.
Dahhh,mkuu ilikuaje ukawa nayo?wewe ni fundi umeme??Nina full set ya Mataa taa (disco lights) vipi uhitaji..?
Habari wanajamvi,naomba mwenye folder la latest audio music ya club anisaidie,Leo Nina function nyumbani nataka wageni wangu wakishalewa wacheze mziki kama wapo club.
Msaada wenu tafadhali.
Mimi ni fundi umeme, nakosa Nguzo tu na Luku..[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Dahhh,mkuu ilikuaje ukawa nayo?wewe ni fundi umeme??
Kuna za east Afrika maana unaweza kuta zipo za ughaibuni tu alafu watu hawazielewi huku.Kama una pc nenda youtube andika Club Hits au Music, zitakuja download na piga muziki.
Kuna selections tofauti tofauti.
mkuu kama ulikuepo maanaleo nipo home na vrtual dj kama dj d ommyMzee huzijui ngoma zote latest? Chkua kwanza virtual dj then tupia good music humo ndan alaf anza kumix madude!
Category zote, mfano hiyo link nimeweka ni za Bongo mpya mpyaKuna za east Afrika maana unaweza kuta zipo za ughaibuni tu alafu watu hawazielewi huku.
Nile list mkuu.Sina folder lkn kama utahitaji upate list udownload mwenyewe ww nistue mkuu
Link iko wopi?angalia usikute mode wameshafanya yao tayari.Category zote, mfano hiyo link nimeweka ni za Bongo mpya mpya
Link iko wopi?angalia usikute mode wameshafanya yao tayari.