Ni kweli hana hiyo thamaniKuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao.
Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika mashabiki TU. Utamuoneze thamani yake kibwege kabisa.
Hizo timu anazohusishwa nazo si ni za huko huko Afrika Mashariki ambako ndio kwenye kiwango chake (kwa mujibu wako), ?Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao.
Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika mashabiki TU. Utamuoneze thamani yake kibwege kabisa.
Hana thamani ipi? Maana mtoa mada hajataja hiyo thamani ila cha ajabu mwenzangu umemuelewa kama hutojali unaweza nisaidia namie mtoa mada anaongelea thamani ipi mkuu
Hana thamani ipi? Maana mtoa mada hajataja hiyo thamani ila cha ajabu mwenzangu umemuelewa kama hutojali unaweza nisaidia namie mtoa mada anaongelea thamani ipi mkuu
Kwangu luis ni bora kuliko chamaHawa wote chama na luis kwenye timu walizoenda wameonekana viwango vyao ni vidogo sana na wanakaa benchi hawana assist wala goli
Wacha nikupe formula ya kutafuta/kukokotoa thamani ya mchezaji yeyote duniani na Africa.Hizo timu anazohusishwa nazo si ni za huko huko Afrika Mashariki ambako ndio kwenye kiwango chake (kwa mujibu wako), ?
Kuna ubaya gani hapo ?
Wamisri hawamuelewi anaruka ruka tuu uwanjani, wanamuuliza kocha masmane kasajili ka emoro cha nini na kwanini anakapanga kamtu kalikoshindwa kwenda sambamba na michezo ya watu walioshiba wenye mchezo wa kasi wanataka kumtoa rohoKwangu luis ni bora kuliko chama
Uzuri au ubaya ni subjective.Wacha nikupe formula ya kutafuta/kukokotoa thamani ya mchezaji yeyote duniani na Africa.
Mchezaji mzuri na mwenye thamani kubwa sana atanyakuliwa fasta na mawakala kabla ya miaka 20 kwenda timu za man u, man city, Liverpool, Chelsea, arsenal, Real Madrid, Barcelona, PSG, Beryan, Juventus, nk.
Wachezaji wakubwa wa Afrika wananyakuliwa fasta kwenda timu za Ulaya, Africa Kaskazini na South Africa. Mchezaji mzuri hawezi sana hatamani kucheza timu za Eat Africa, hususani Simba na Yanga. Mchezaji mzuri hawezi kutoka Africa Kaskazini, Africa magharibi, South Africa aje East Africa.
Yaani uwezo wa Chama hautofautiani sana na wachezaji wetu hapa kama Akina shabalala, mapinduzi, lidondo, Ambundo, muhilu, nk. SEMA TU Chama alipatiwa nafasi ya kucheza kila mechi na akapata wachezaji wanaomuelewa.
Huwezi kulipa 1b au hata 500m kununua Chama, huo utakuwa ulevi wa hali ya juu.
Sikatai ni mzuri kibongobongo, nakataa thamani anayopewa. Ligi yetu hii ya bongo yenyewe viwanja vibovu na waamuzi wabovu kuna mchezaji wa 500m au 1b. Kuna ujanja ujanja wunafanywa na mawakala ili wapige pesa kupitia mchezaji. Nakwambia hata chama akiwemo ndani timu hiyo itafungwa TU. Mpira wetu unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Hivi kazidi sana thamani yake ni 200ml.Uzuri au ubaya ni subjective.
Messi na Ronaldo mmoja anaweza kuwa mzuri au mbaya ukimlinganisha na mwenzie kwa mtazamo wako.
Kwa muktadha wa soka la kidunia, Chama hawezi kuwa mchezaji mzuri maana tutamlinganisha na akina Bruno Fernández, KDB na wengineo.
Lakini hautakua sahihi kama utaweka mpaka wa uzuri, kwamba kuanzia ligi za kaskazini mwa Afrika, Ligue 1, Serie A na EPL ndio kwenye uzuri. Utakua unakosea sana.
Uzuri unaweza kuupata hata aple unapolinganisha Yanga dhidi ya KMC, au Namungo dhihi ya Jang'ombe Boys.
Kwa soka la Tanzania Chama ni mchezaji mzuri na ndio maana anazigombanisha timu za Tanzania katika kumpata.
Chama hahitaji kuwa na uwezo kama wa Luca Modric au Iniesta ili awe mchezaji mzuri katika ligi ya Tanzania.
Kama Real Madrid, Bayern na Man City ndio zingekua zinapigana vikumbo kumpata Chama ungekua sahihi kwenye hoja yako, lakini kwa hizi timu za Tanzania, acha wamgombanie maana Chama ni mchezaji mzuri hapa kwetu.
Hana thamani ipi? Maana mtoa mada hajataja hiyo thamani ila cha ajabu mwenzangu umemuelewa kama hutojali unaweza nisaidia namie mtoa mada anaongelea thamani ipi mkuu
Acha tu mkuu, ilinibidi kuuliza kwanza maana sie wengine kuelewa hadi pichaNaona umeamua kugonga nyundo ya utosini kabisa