Clouds wamefanya mapinduzi na kipindi cha habari cha “sentro”

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Nafikiri Clouds wamekuja na ubunifu mkubwa sana katika taarifa za siku za habari,

Pale Babra Hassan, kule Masoud Kipanya\KP na Babie Kabaya

Wanafanya habari isionekane serious na kupunguza zile “kumradhi” na mikwamokwamo

Zaidi kuna entertainment za hapa na pale

Kongole kwao, mawazo na akili kubwa
 
Mbona hata kile cha EFM nacho cha akina Kitenge kipo fresh Sana maana hawana woga woga kama wale wa Clouds. Kila nikikimbuka hao Clouds walivyotaka kumsafisha Yule bwege Sabaya siwataki kabisa
 
Back
Top Bottom