Ukweli ni kwamba binadamu na hasa sisi watanzania hatupendani!!! Tunaombeana matatizo ili tuchekane!!! Hivi ni kosa gani kubwa walilofanya clouds media group hadi muwachukie hivyo???? Jirekebisheni watanzania!!! Mshawahi kusikia ile habari ya "MSIYEMPENDA KAJA???!!"