Clouds tv waonesha vita ya Libya

Clouds tv waonesha vita ya Libya

Njanga Tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
843
Reaction score
655
Katika habari yao ya jioni hii Clouds tv wameanza na habari ya kulinda amani.

Chakushangaza wameanza kwa kuonyesha vita vya Libya na kuanza kuweka ulinganishi na hali ya Tanzania na matamko ya Amani yaliyotolewa leo.

Mmeweka hzo video tena na sauti ili iweje?
Wito wangu ni huu, Clouds tv acheni huo mtindo mnaotaka kuanza huko ni kuwapa hofu wananchi katika kufanya maamuzi yao.
 
hiyo ni tv ya baba riz na magufulo acha tu wajionyeshe wenyewe labda wanafurahisha nafsi zao lakin sisi tutampigia kura nyingi na za kutosha Lowassa awe rais wetu
 
Mbinu hiyo ilitumiwa na ccm1995 kwa kuonyesha mauaji ya rwanda, inawezekana iliwalipa sana ndio maana imebidi waitumie tena. Ila wasidhani tukifika huko wao watakuwa salama,
 
yakwaza kusambalatishwa ni hiyo tv maana inachochea ikizani kuwa inaisaidia ccm wakati chichiem ishaisha zamani
 
kifo kikiwadia kutapatapa ni kawaida... acha waonyeshe vita zote, mabadiliko lazima
 
Katika habari yao ya jioni hii Clouds tv wameanza na habari ya kulinda amani.

Chakushangaza wameanza kwa kuonyesha vita vya Libya na kuanza kuweka ulinganishi na hali ya Tanzania na matamko ya Amani yaliyotolewa leo.

Mmeweka hzo video tena na sauti ili iweje?
Wito wangu ni huu, Clouds tv acheni huo mtindo mnaotaka kuanza huko ni kuwapa hofu wananchi katika kufanya maamuzi yao.

Acha kulia lia.watu wanahabarishwa wewe unasema wanatishwa
 
Hivi hawa watu wanafikiri sie binadamu bado tupo enzi za zama za mawe au? Yani ni ujinga kabisa.
 
Kwan libya c wote wanajua kilichotekea hiyo nayo ni tv ya kuangalia duuu
 
Yani hawa kijani, wanatumia kila njia vitisho, matusi kuogopesha watu, ukawa wao wanasonga
 
ni kuwatia hofu wananchi si jambo jema hasa katika mfumo wa kidemocrasia hususan tukielekea uchaguz mkuu 2015
 
Wanawaonyesha namna ambavyo nchi ikikosa amani hali inavyokuwaga mbaya.
 
Back
Top Bottom