CLOUDS TV VIPI TENA

Sueky

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
320
Reaction score
205
Nimpenzi wa 360 nasikitika
tangu juzi (Jumapili)
Mnasuasua Sana.Kibaya zaidi nyie mmekazana kurusha vipindi !!
Kama mitambo inasumbua sitisha matangazo maliza tatizo.
 
Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa
 
Tumekusikia na tutalifanyia kazi tatizi ni kuwa kwenye mitambo yetu wameingia mende na mijusi tupo kwenye hatua ya awali kuwaondoa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…