Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,052
Karibu wasafi TV achana na TV za wahengaNimekuwa nakosa usikivu mzuri (Sauti) hasa ukitazama vipindi Mubashara, Sauti za watangazaji zinasikika vibaya sana Kama vile wapo ndani ya Pipa.
Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi karibuni ila kama Studio zimewashinda hata kutengeneza ili kuepusha huu mwangwi unaosikika ni hatari tupu.
Yaani mwonekano mbovu, Sauti mbovu ukitazama kwa haraka unaweza kujua wapo jikoni.Hata muonekano wa studio wabadilishe pia
Nimekuwa nakosa usikivu mzuri (Sauti) hasa ukitazama vipindi Mubashara, Sauti za watangazaji zinasikika vibaya sana Kama vile wapo ndani ya Pipa.
Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi karibuni ila kama Studio zimewashinda hata kutengeneza ili kuepusha huu mwangwi unaosikika ni hatari tupu.
HahahahahahaYaani mwonekano mbovu, Sauti mbovu ukitazama kwa haraka unaweza kujua wapo jikoni.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku Camera ikicheza kidogo tutaona Kitanda cha CEO, Ngoja tuvumiliane maana nadhani hata wao wanaona aibu.Sasa kama Vipindi vyao vya sasa vya Television ( Runinga ) vyote vinafanyikia katika Chumba cha Kulala cha CEO wao unataka Sauti iwe juu ili mwenye Mali aamke Mkuu? Wavumilie tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siku Camera ikicheza kidogo tutaona Kitanda cha CEO, Ngoja tuvumiliane maana nadhani hata wao wanaona aibu.
Na wako ndani ya pipa kweli ushawah kwenda clouds?Nimekuwa nakosa usikivu mzuri (Sauti) hasa ukitazama vipindi Mubashara, Sauti za watangazaji zinasikika vibaya sana Kama vile wapo ndani ya Pipa.
Mmekuwa TV yenye kufuatiliwa na watu siku za hivi karibuni ila kama Studio zimewashinda hata kutengeneza ili kuepusha huu mwangwi unaosikika ni hatari tupu.
Sasa wewe Suala la Kiba na usikivu mbaya wa Clouds Tv linahusiana nini?Nataka kusikia wasafi fm na tv kama watapiga nyimbo za king kiba
Hapana, Naomba Picha ya Hilo Pipa lao.Na wako ndani ya pipa kweli ushawah kwenda clouds?
hapo kwenye muonrkano sasa ndio penyew kabisaaa...yaani huwezi fananisha na muonekano wa east Africa radio ...hovyo kabisaHata muonekano wa studio wabadilishe pia