mpeg4 uelekeo wa dstvkwewnye receiver hizi za kawaida?
Cloud tv hawapo kwenye satelite yeyote..sema wapo kwenye package ya TING inayopatkana Eutelsat w4/7 @36°E...hawa ni sawa na DTV,Mlimani tv nk huwez kuwapata kwenye sat yeyote ile!!Wakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya TING au Star times bali wanatumia dish ni kuwa Clouds TV wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako WEtsal 4 kwa receiver ya MPEG 4 kwani hizi DVB recevers hazikubali .Nimejaribu nimeshndwa kabisa.
Lakini sasa wenye cable services wanaipata safi sana
Cloud tv hawapo kwenye satelite yeyote..sema wapo kwenye package ya TING inayopatkana Eutelsat w4/7 @36°E...hawa ni sawa na DTV,Mlimani tv nk huwez kuwapata kwenye sat yeyote ile!!