Ofisi tu makao makuu wameshindwa kujenga itakuwa tv na radio?
Ofisi tu makao makuu wameshindwa kujenga itakuwa tv na radio?
Ofisi tu makao makuu wameshindwa kujenga itakuwa tv na radio?
Hawana pa kuiba kama nyie mnavyo wapora Watz
Hawana pa kuiba kama nyie mnavyo wapora Watz
Aisee kumbe wewe ni mdogo sana kwenye ubongo,Sasa radio hata Dj wa maisha club anayo sembuse taasisi kubwa kama CDM
Mbona hii dhana ya kujitoa ufahamu haiwaishi vyie mavuvuzela?
Na kibonde asingekuwa na meno yaliyopandana angezidi sifa
Kumbe ndio maana mnagombea uongozi ili mpate pa kuiba siyo? Mtangoja mileleHawana pa kuiba kama nyie mnavyo wapora Watz
Siyo Masisiemu tu yanamtaka mamviHawa jamaa wanaushabiki wa kijinga,Na kujipendekeza ndio kula yao.Toka nimeanza kuwatazama na kuwasikiliza wamekuwa wakiegemea zaidi kwa Ccm tu,Tena kuelekea uchaguzi mkuu ndio wamezidi kuonyesha mahaba kwa Ccm.
Interview zao nyingi wanafanya na watu wa ccm,Wakibadili kwa mbaalii..watamwita Zitto Maswali yenyewe wakiuliza ni yakubebana tu..Hovyo kabisa au Joseph hiyo Tv na radio ana featuring na Ccm?Badilikeni bila hivyo mtabaki jumba la makumbusho kama TBC.Kuweni huru kama ITV,Star Tv na Chanel Ten.