Hawa jamaa wanaushabiki wa kijinga,Na kujipendekeza ndio kula yao.Toka nimeanza kuwatazama na kuwasikiliza wamekuwa wakiegemea zaidi kwa Ccm tu,Tena kuelekea uchaguzi mkuu ndio wamezidi kuonyesha mahaba kwa Ccm.
Interview zao nyingi wanafanya na watu wa ccm,Wakibadili kwa mbaalii..watamwita Zitto Maswali yenyewe wakiuliza ni yakubebana tu..Hovyo kabisa au Joseph hiyo Tv na radio ana featuring na Ccm?Badilikeni bila hivyo mtabaki jumba la makumbusho kama TBC.Kuweni huru kama ITV,Star Tv na Chanel Ten.
watu wa tanganyika mnasikitisha sana tabia ya kujipendeza mpaka lini?
mm naamini mtu yeyote anajipendekeza kwaza huwa ajiamini pili ana elimu ya magumashi tatu kuna uwezekano mkubwa akawa amefoji vyeti.
sasa kwa vyombo vya habari kujipendeza kwa ccm ni kuamini kuwa ccm itashinda bt kinachonishangaza hawa hawa ndo wanalalamika kwamba uhuru wa vyombo vya habari wanatungiwa sheria za kuwabana mpaka wanataka kuladhimishwa kujiunga na TBC one kwenye taarifa ya habari lakini vyama mbadala vinawatetea kila cku bt awapati credit zozote kutoka kwao .
Clouds keshanunua rostam ...we unafikirije sasa hapo...kama si kusifia chama tawala mpaka basi...lakin ni media ya private na wanalipa kodi so sio ubaya hata wakisifia masaa 24 + 1 ...wana haki...
Tunakosoa utendaji usiofuta maadili,Hatulalakimiki.Mbona nyie magamba ndio mnaongoza kwa kulia lia na vyombo vya habari.Na kuvifungia kama haviwabebiii?
''Mlianza na Mungu, mpo na Mungu na mtamaliza na Mungu''.............sasa hapo sijui povu la nini, au Clouds ni kubwa kuliko Mungu na ndio maana unalalamika/
Clouds Tv wana kipindi kinaitwa 360 kifuatilie
Then fuatilia na kipima joto Itv na baragumu chanel ten.Halafu njoo hapa unipe mrejesho wa waalikwa kwenye vipindi hivyo kama ni sawa na clouds.Fanya utafiti hata kwa two weeks
tena huyu jamaa ni bingwa wa kujipendeza kwa wazee wa mtaa wa lumumba dah sometime anaweza kuongea vitu mpaka msikilizaji wa kipindi chake unaona aibu dah mm nadhani sometime anajusahau mpaka kujua yeye ni njinsia gani? kwa maana vitu vingine anatakiwa kuongea mkewe anaongea yy
Clouds Tv wana kipindi kinaitwa 360 kifuatilie
Then fuatilia na kipima joto Itv na baragumu chanel ten.Halafu njoo hapa unipe mrejesho wa waalikwa kwenye vipindi hivyo kama ni sawa na clouds.Fanya utafiti hata kwa two weeks