Cc Moderator
Kwanza nawapongezeni sana kwa kufuta uzi fulani hivi ulioanzishwa leo kwa kuelekezwa Clouds media.Nahisi mmegundua kitu ndio maana mkaufuta haraka
Unajua kumekuwa na kasumba either watu kutumiwa au Kiasiasa Zaidi watu kuibuka kila wiki na uzi unaohusu Clouds Media,imeekuwa inaboa sana kwa sasa
Na unakuta baadhi ya mambo yanajirejea yale yale na comments posted ni zile zilee.
Nashauri kwamba,kama mlivyofanya leo kwenye uzi mmoja kuufuta,ni hatua nzuri.
Huu ushindani wa vyombo vya habari kwa kupenyeza shombo za Usiasa hausaidii kitu.Kama chombo kizuri ni kizuri tu.Hakuna kijana ambae haikubali Clouds Fm na Tv,ila kuna vijichuki fulani hivi vimeingia kati hata wale waliokuwa wanaikubali nao wameanza kuichukia eti kisa ina mfavour raisi na serikali yake.Na ndio maana hata Comments nyingi zinajibu kuelekea huko na Pia kuelekea kwa Mfanyakazi Mmoja Mmoja.
Sasa imekua likitokea dogo tu watu mbioo kwenye kupost,likitokea jema kimyaaa.
Hata kama kuna kitu basi tutoe hata gepu basi,maana hata wale wasiokuwa wanaangalia Clouds basi wanaangalia kwa makusudio hayo tuuu.
Siasa zisitupumbaze akili,anaejua anajua tu
Huko Cloud Media Pacha wake huku Zanzibar Coconut Media,Coconut Redio na Coconut Digital Tv(EPL mechi karibia zoote na channell telee,buku kumi,sawa na bureeee)Raha tu.Hongereni Uongozi wa Cloud Media kwa kutanua Wigo wenu.Vimaneno maneno hivi najua kwa Ukongwe wenu mmeishavizoea na matusi ya walee mmeishayajua na hawana jipya.
Pigeni kazi wadau wenu tupo Nyuma na Mungu atawasimamieni