Tv za bongo karibu zote hazina maudhui ya maana kuanzia kwa watangazaji hadi aina ya vipindi.Mm binafsi hiyo channel sionagi cha maana kuangalia huko.
Zaidi utaona kama ni watangazaji wanaongea TU kwa kubishana na makelele bila kupeana nafasi za kuzungumza.Kuanzia asubh hadi jioni ni miziki wakitoka hapo kidogo ni uchawa basiii.Kwangu uhai TV ndiyo naona wana makala nzuri kuangalia tofauti na huko mawinguni,Afrika masharaki,zamad nk hakuna kitu.