Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,737
Ukiwa na hoja nitakujibuMjinga wewe umekuja na hoja dhaifu sana, eti wewe ulianza kusahau beat, una akili kweli? Beat wewe ulitaka ukaupige wapi, ndio maana unafurahia upuuzi huu wa mawingu radio.
TBC wanaucheza saa 11alfajiri clouds wanaucheza saa 1 asubuiWanaupiga enzi na enzi wakati gani.. ?? Hapa hayuongelei swala la kucheza wimbo wa Taifa...tunaangalia ni wakati gani tunapiga wimbo wa Taifa
Nashukuru kiongozi...Hapana mkuu wimbo wa Taifa hauwezi kuwa sawa na seduce me, nataka kulewa, nampa papa, mwanaume mashine na nyingine kama hizo! Wimbo wa Taifa ni moja ya alama za Taifa letu pendwa! Kama sisi wenyewe hatuta uheshimu wimbo wetu wa Taifa na wengine pia hawata uheshimu! Tukichekea swala hili wataupiga mpaka kwenye vilabu vya pombe! Zamani wimbo huu ulipigwa kwenye matukio maalum ya kitaifa!
Wewe ni kati ya watu ambao nawaheshimu sana hapa JF....Ukiwa na hoja nitakujibu
Mi nshakudharau kitambo kumbe we umeanza leo?Wewe ni kati ya watu ambao nawaheshimu sana hapa JF....
NIMEKUDHARAU SANA LEO.
Msenge ww..Mi nshakudharau kitambo kumbe we umeanza leo?
Sijaona cha kujifunza hapo, acha ushamba wimbo haubadili kituJifunze hapa..