Mkuu nakubaliana na wewe, si tu anaudharaulisha lakini kubadili jinsi unavyoimbwa wameuharibu kabisa, binafsi wananikera!
Wasouth walipoingia ubi na Air Tanzania, walitengeneza radio jingle wakifananisha wimbo wao na wetu. Ilikuwa ni creativity ya hali ya juu, lakini ulileta usumbufu na kuishtua watu sana, wakacomplain na ukapigwa ban !They are triying to be creative, lakini kuchamba kwingi...
They are triying to be creative, lakini kuchamba kwingi...
Wanausharobarosha wimbo wa Taifa? Mwisho hata gwaride wataligeuza kiduku na hautasikia wakichukuliwa hatua
Hata mimi ndio nawashangaa!!hivi hii radio bado mnaisikiliza tu ..