Clouds mnaoufanya ni utoto

Clouds mnaoufanya ni utoto

Sawa Mzee wa watu umetuxia nn (mangialiyejizeekea) utapigwa nyundo huwape tabu wazazi wako,kama unataka kuongea sema bila kaul zszo muuz mwenzio
 
.... kama pogba..., hata assist za shida.

labda kama wanategemea kuongeza vipindi ila wa kumtoa kipanya pale sijamuona... jamaa ni mwerevu sana
Kipanya hamna kitu ni pumba tu anaongea, hana uelewa haswa wakija wageni waalikwa kama wanasiasa wenye akili anapwaya sana
 
Watangazaji na wamiliki wa hizo stations ni ma snitch tu
 
PJ Efm hapakumfaa kabisa PJ Ni jembe anatakiwa abaki clouds Radio ambayo ni kubwa Kama PJ wangekuwa mchezaji mpira bas kwa uwezo wake angekuwa Kati ya timu kubwa mbili duniani hongera PJ kwa kufanya uamuzi Wa kurudi nyumbani big up sana
 
Hivi jose mara anatangaza nini hapa clouds naona mwaka umepita yupo tu, anachoongea ni ni kukomenti tu wanavyosema wenzake
 
Sijaelewa kwahyo wamemludisha pj tena au
Hapana hawajamrudisha ila PJ ndo kaamua kurudi inawezekana ikawa ni masilahi lakini kitu kitaenda sawa EFM kila kitu kitasonga mbele macho Kwenye pesa wako vizuri wanasepa na kijiji
 
kwa kweli fredwaa alikuwa mtangazaji kwelikweli alipokuwa rfa. sasa hivi amekuwa mzigo kwa ile nafasi. mpeni sehemu ingine arudie ubora wake...
ile nafasi amekuwa kama 'golikipa'...!!
Yeye anasema yuko comfortable kwa sababu kule alipanga ila sasa yuko nyumbani
Namkumbuka sana Kwenye
SINDANO ZA MOTO
 
  • Thanks
Reactions: Lee
EFM ni wabunifu sana halafu hata watangazaji walionao unaona kabisa hawa kichwani zimo ndomana kwa sasa wanapata matangazo kila leo na hata kampuni au mfanyabiashara tangazo lako bora ulipeleke EFM sababu wana vipindi ambavyo vina mvuto hata kuvisikiliza sababu ya ubunifu wao na wakisambaa mikoani kwa mwakani Clouds wahesabu maumivu
Jiwe moja ndege wawili
 
Daa!, nlikuwa najua kuwa mpira pekee ndo una derby kumbe hata mambo kama haya , Derby ya clouds vs Efm

efm nao watengeneze watu wao sio wamekua tu wanaanza kuwasainisha mkataba watu wengine

PJ karudi nahsi na hando yupo njiani kurudi...
 
Kiukweli kwa vipindi vya asubh PJ atabaki kuwa namba moja kwangu hasa kuchambua magazeti sio siri alinifanya nianze kufatilia joto la asubh efm alivoondoka clouds ...sasa narud kuperuzi na kudadisi tena...
 
Sema combination ya PJ na Gerald Hando ni nzuriìi ,sijui pale atafit na nan
 
Inatakiwa itokee radio kali kuipita Clouds na EFM ili wote wanyoooke maana hawajielewi badala ya kubiresha vipindi wanabadilisha wafanyakazi.sasa Zamaradi aende EFM na Dina Marious arudi Clouds.....hahaaaa hahaaas mahasimu wakuu
 
Back
Top Bottom