Clouds mnaoufanya ni utoto

Clouds mnaoufanya ni utoto

Ahahhaha mapovu kisa PJ karudi alivyoondoka mlishangilia kila linalofanywa na Clouds sio jema lakin wakifanya wengine jema Huu mchezo hauhitaji hasiraaa sindo msemo wenu
 
1475677321249.png
1475677338755.jpg
 
Clouds kwa mara ya kwanza nimewadharau... Hivi mmeshindwa kuunda watu wapya mpaka mnarudisha wa zamani???
 
Wasamehe mkuu maana ni ulimbukeni tu unawasumbua,Muda si mrefu watamchukua mpaka Gigy money..
 
Huyo PJ nae kama mwanamke,mwanaume unakosaje msimamo?binadamu wa ukweli ni yule ambaye kwanza analinda heshima yake na jamii yake,huyu boya kashindwa kujilindia heshima,nimemdharau sana,wanaume hatuko hivyo,kesho akitimuliwa tena kwa kashfa ileile ya kitwang ataenda wapi?
Pesa huondoa nidhamu mkuu
 
Wasamehe mkuu maana ni ulimbukeni tu unawasumbua,Muda si mrefu watamchukua mpaka Gigy money..
gigy si walimchukua choice fm sijui kama bado anaendelea kutangaza
 
Pengine kitu ambacho watu hawaja gundua juu ya clouds fm. Wanatumia mda mwingi kusikiliza radio kubwa mfano EA RADIO,MAGIC FM,RADIO ONE na radio chipukizi kama EFM. Kwa muda mwingi sana ili waende sawa kwani wao wanakosa kitu kimoja UBUNIFU. Na hiyo inapelekea kuchukua hao watangazaji kwa pesa nyingi siyo kwa kuwatumia kutengeneza pesa hapana. Na mipango kazi ya radio walizotoka hao watangazaji, mfano unaweza jiuliza watangazaji kama 10 waliotoka EA RADIO/TV wamewapelekea mipango kazi mingapi clouds ya muda mrefu....? Still bado hiyo station ina endelea kufanya vizuri japo na kuondokewa wapiga kazi wao (EA RADIO/TV). UBUNIFU tu ndo unawaweka on top na hicho clouds fm ndo wanacho kosa wanatumia nguvu kubwa sana
Utakubali pale EFM wanapokuwa wabunifu hadi leo kuwa pale. Ndo maana watangazaji makini toka radio one uwezisikia wamekwenda pale wana focus mbali BBC,DW,VOA,CCTV, IKULU na kwengine
Ushauri CLOUDS kuwenu wabunifu au nyie mnajua fulsa basi za kuwashauri watu .
 
Ahahhaha mapovu kisa PJ karudi alivyoondoka mlishangilia kila linalofanywa na Clouds sio jema lakin wakifanya wengine jema Huu mchezo hauhitaji hasiraaa sindo msemo wenu
Kaondoka clouds kwa kashfa
Kaondoka efm bila kashfa
Dadavua hapo
 
Efm bado itakuwa juu tuu

Clouds hawabuni wanaskilizia redio zingine halafu wana jipa pande
Aaaa
 
EFM ni wabunifu sana halafu hata watangazaji walionao unaona kabisa hawa kichwani zimo ndomana kwa sasa wanapata matangazo kila leo na hata kampuni au mfanyabiashara tangazo lako bora ulipeleke EFM sababu wana vipindi ambavyo vina mvuto hata kuvisikiliza sababu ya ubunifu wao na wakisambaa mikoani kwa mwakani Clouds wahesabu maumivu
 
Hii inanikumbusha enzi zile kwenye muziki wa dansi, wanamuziki walikuwa wana hama-hama so often, mara leo Juwata, kesho Mlimani park, tena OSS, mara Matimila.... Yote kutafuta masilai kind of boring.
Nahisi nusu ya JF hamtanielewa but that's how it was back in the day.
 
Pengine kitu ambacho watu hawaja gundua juu ya clouds fm. Wanatumia mda mwingi kusikiliza radio kubwa mfano EA RADIO,MAGIC FM,RADIO ONE na radio chipukizi kama EFM. Kwa muda mwingi sana ili waende sawa kwani wao wanakosa kitu kimoja UBUNIFU. Na hiyo inapelekea kuchukua hao watangazaji kwa pesa nyingi siyo kwa kuwatumia kutengeneza pesa hapana. Na mipango kazi ya radio walizotoka hao watangazaji, mfano unaweza jiuliza watangazaji kama 10 waliotoka EA RADIO/TV wamewapelekea mipango kazi mingapi clouds ya muda mrefu....? Still bado hiyo station ina endelea kufanya vizuri japo na kuondokewa wapiga kazi wao (EA RADIO/TV). UBUNIFU tu ndo unawaweka on top na hicho clouds fm ndo wanacho kosa wanatumia nguvu kubwa sana
Utakubali pale EFM wanapokuwa wabunifu hadi leo kuwa pale. Ndo maana watangazaji makini toka radio one uwezisikia wamekwenda pale wana focus mbali BBC,DW,VOA,CCTV, IKULU na kwengine
Ushauri CLOUDS kuwenu wabunifu au nyie mnajua fulsa basi za kuwashauri watu .
hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaa ubunifu kwa kuwaleta akina kicheko, ubunifu vipi wakati mhaya yule anasema ana miaka zaidi ya mitatu hasomi cv za watu.Mtu umepiga zako jiwe la journalism ukifika hapo unapewa cha mbavu lakini wauza makalio mitandaoni wanapata kazi, wanakusubiri uende stesheni nyingine ukue waje wakurubuni.
 
Back
Top Bottom