Hivi hizo pesa za Fine zinakwenda wapi ?, inabidi kama issue ni kuwazalilisha mabibi hizo pesa wawape wazee au kuwasaidia wazee wenye shida na sio kuziweka midomoni mwao...
TCRA
Binafsi sikuona hicho kipindi hence siwezi kusema chochote ila si mabibi na wajukuu huwa tuna utani isije ikawa hawa jamaa wanataka kuwa too political correct; ukizingatia labda wasikilizaji wa hii redio hayo ndio mambo yao..