Unamjua mlezi wa WCB?Clouds hawana ugomvi na dai,,maana ndio maboss zake
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha kituo upigeLengo ni kumshusha. Nyimbo ya zilipendwa haijawahi pigwa pale. But nyimbo ya kiba kila SAA inapigwa zaidi ya Mara 3
Ntaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
Ruge anauwa kampuniClouds maboya ndo maana bashite aliwavamia. Kibakuli wanampa promo kwa ajili ya Fiesta
Nchi ngumu sana hii, vijana wa viwanda ndio hawaTanzania buana.
Kweli bhana nakumbuka kwenye p diddy aliwahi kumwambia jay z na Dr dre kuwa wasifikiri watakuwa on top kuwa wana hela ilikuwa mwaka 2007 lakini leo hii p diddy anawaongoza wote hao.Tatizo lako ni mtazamo hasi diamond wakati wake utapita kama wwngine ulitegemea akae hapo milele?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hawapatani wale wasanii wa wcb wasingesainiwa fiestaLengo ni kumshusha. Nyimbo ya zilipendwa haijawahi pigwa pale. But nyimbo ya kiba kila SAA inapigwa zaidi ya Mara 3
Mond juzi alikuwa 360.Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app