clouds media!Duh!

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,683
3,407
Habari wa jf,Yan nashangaa kuhusu hii promo yao ya kombe la dunia ya Brazuka!Juzi kat wametangaza washindi watakaokwenda brazil kushuhudia baadhi ya mechi za kombe la dunia,Mmoja kat yao kutokana na kuuguliwa na wazazi nasikia ameomba apewe zawadi nyingine badala ya safari yakwenda brazil,chaajabu amepewa shilng 50'000,jezi na tv.Swali Je hivyo vijizawadi alivyopewa vinaendana na gharama za safari iliyokuwa imepangwa kwa ajili yake au kuna usanii hapo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom