Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,454 Reaction score 32,980 Aug 30, 2025 #1 EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul Sykes. Muda ulikwenda haraka mno. Nagutuka Emmanuel ananiambia ana audio na video ya zaidi ya saa moja ya mazungumzo: View: https://youtu.be/McIe20TS-5Y?si=prow5tRLkJUFzevK
EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul Sykes. Muda ulikwenda haraka mno. Nagutuka Emmanuel ananiambia ana audio na video ya zaidi ya saa moja ya mazungumzo: View: https://youtu.be/McIe20TS-5Y?si=prow5tRLkJUFzevK
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,454 Reaction score 32,980 Aug 30, 2025 Thread starter #2 View: https://youtu.be/auqUoQDEEQU?si=nmzJBC2jaxCU7ss_
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,454 Reaction score 32,980 Aug 30, 2025 Thread starter #3 Mohamed Said said: View: https://youtu.be/auqUoQDEEQU?si=nmzJBC2jaxCU7ss_ Click to expand... TANU KUELEKEA UHURU · Saturday, Aug 30 ð¸ Shared album · Tap to view! photos.app.goo.gl
Mohamed Said said: View: https://youtu.be/auqUoQDEEQU?si=nmzJBC2jaxCU7ss_ Click to expand... TANU KUELEKEA UHURU · Saturday, Aug 30 ð¸ Shared album · Tap to view! photos.app.goo.gl
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 10,603 Reaction score 14,834 Aug 30, 2025 #4 nimetoka kuangalia mahojiano yako uliyofanya na masoud kipanya muda si mrefu uliopita
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,454 Reaction score 32,980 Aug 31, 2025 Thread starter #5 Lax said: nimetoka kuangalia mahojiano yako uliyofanya na masoud kipanya muda si mrefu uliopita Click to expand... Lax, Umeangalia vipindi vyote vinne?
Lax said: nimetoka kuangalia mahojiano yako uliyofanya na masoud kipanya muda si mrefu uliopita Click to expand... Lax, Umeangalia vipindi vyote vinne?
Lax JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 10,603 Reaction score 14,834 Aug 31, 2025 #6 Mohamed Said said: Lax, Umeangalia vipindi vyote vinne? Click to expand... Naam mkuu, vyote vinne
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,597 Aug 31, 2025 #7 Ahsante kwa historia... Cc: Mahondaw
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,454 Reaction score 32,980 Sep 1, 2025 Thread starter #8 Mohamed Said said: Lax, Umeangalia vipindi vyote vinne? Click to expand... Lax, Yapo mapya ambayo hukuwa unayajua kabla katika historia ya Tanganyika?
Mohamed Said said: Lax, Umeangalia vipindi vyote vinne? Click to expand... Lax, Yapo mapya ambayo hukuwa unayajua kabla katika historia ya Tanganyika?