Radhia Sweety
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 4,433
- 1,772
Imethibitika kuwa mmoja kati ya hao anaweza kudondoka kwenye kilele cha Fiesta mwisho wa mwezi huu DSM. Narudia tena, mmoja kati ya Rick Ross na Nick Minaj atadondoka kupiga show ya mwisho ya Fiesta mwaka huu.
Mkuu tuzo za oscar ni kwa ajili ya movies...jipangeSamahani mimi napita tu hapa, kati ya hao wasanii kuna yeyote aliyepata tuzo hivi karibuni? kama tuzo za Oscar award au kuwepo kwenye top ten ya billboard chart.
Sawa nimekuelewa sasa ngoja nijipange, mimi si muelewa sana wa hawa celeb lakini napenda kuhudhuria show ya Msanii ambaye yupo kwenye chart, huo ndio msingi wa swali langu.Mkuu tuzo za oscar ni kwa ajili ya movies...jipange
Hivi DMX aliishia kutangazwa na clouds kuwa watamleta alafu akayeyukia wapi??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums