Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Nimekuwa mfuatiliaji wa hii Radio lakini ninashindwa kuelewa mwelekeo wao katika kutoa habari.Inaonekana kana kwamba haina ulazima wa kusomea uandishi wa Habari ama kuwa na taaluma inayohusiana na Habari ili uwe unatoa habari,kutangaza,kutoa uchambuzi wa maswala mbali mbali kwenye vyombo vya habari nk.Mfano Kibonde amekuwa mchambuzi wa mpira yeye ,maswala ya siasa,kiuchumi,mtaalamu wa habari maswuala ya kivita mfano sakata/vita liliyokuwa linaendelea libya nk .
Kwa mtazamo wangu wapo watu wenye vipaji tofauti na wanaoweza kumudu vyema kila sector,ila huwa hawa watangazaji mara nyingi wanaelezea hisia zao kupelekea kituo kuwa cha kueneza majungu badala ya habari.
Hivi hakuna vigezo vya kitaaluma vinavyotakiwa kwa hawa wamiliki pindi wanapoanzisha hivi vyombo vya habari?
mwandshi wa habari mtaalamu ni PJ ila hao wengine mkuu ni macommentator tu
Hawajui ndiyo maana wanachanganya wanadhani wewe ni Public relations officer wa Clouds FM, hawajui kwamba unaweza ukawa ni mshabiki tuu.Watu humu hawajui kabisa tofauti ya journalist, newscaster, editor, wala commentator.
Watu humu hawajui kabisa tofauti ya journalist, newscaster, editor, wala commentator.
kwa nini hapo umegenerelise?Kibonde ni commentator. Yeye anatolea maoni kuhusu current events. Sasa kama kwenye current events kuna habari za mambo tofauti tofauti atatoa maoni yake kulingana na ufahamu wake.
Kipindi cha Jahazi si straight up journalism. The program is general opinion-based. Don't tune in to it if you are looking for any expert opinion. Ndiyo maana kukiwa na jambo ambalo linahitaji uchambuzi wa kuhusiana na fani husika huwaga wanakuwa na mgeni mtaalamu wa hilo jambo.
Watanzania inabidi muelewe kuwa tasnia ya habari ni pana na haihusiani tu na kukusanya, kuandika, kuzihariri, na kuzirusha tu habari. Hata uchambuzi jumla wa kimaoni nayo ni sehemu ya tasnia ya habari.
ni mtu kama wewe ..sema anapenda tu kuweka watu sawa kama mtu mwingine tu mwenye interest na kitu kingine chochotehivi mkuu kwa nini unapenda sana kuingilia post zinazohusu clouds na watu wao??wewe ni nani??una share pale??
hivi mkuu kwa nini unapenda sana kuingilia post zinazohusu clouds na watu wao??wewe ni nani??una share pale??
kwa nini hapo umegenerelise?
au na wewe unaamini kuwa samaki mmoja akioza ndio wote wameshaoza..?
i dont like this!!
oo thankx God kwani nilikuwa nataka kujivua u TZ baada ya rais kununuliwa suti na mwarabu so nisingependa kuwa amongOh samahani. Hapo nimeteleza kidogo.
oo thankx God kwani nilikuwa nataka kujivua u TZ baada ya rais kununuliwa suti na mwarabu so nisingependa kuwa among
Diva mara nyingi namtumia meseji zangu anaziweka kapuni.... hanijibu.....but i will never give up....!!!Diva vipi lakini? Tende halua halua?
duh................ where is the helmet?Hawajui ndiyo maana wanachanganya wanadhani wewe ni Public relations officer wa Clouds FM, hawajui kwamba unaweza ukawa ni mshabiki tuu.
mimi nataka kutofautiana kidogo na nyani ngabu hata kama umekunya maji ya ladha ya clouds lakini kawaida kitaalam ukikoment kitu usiwe na affiliation na chombo husika
kwa mfano kosa nilionalo mimi kwa kibonde si utangazaji bali ni kuongea as if anajua anchoongea wakati hajui lolote
ili uwe commentetor lazima uwe na data halafu ndo ulete review,
lakini pia jambo lingiine tatizo lililopo si kwa kibonde tu ni kwa karibuni media nyingi za kibongo kusema kitu kama ndio editorial...afadhali gazeti huwa lina msimamo wa mharirir ambao huwa kama mwongozo na msimamo wa chombo husika.
Lazima tufike sehemu wabongo tuheshimu taaluma kibonde ni maarufu kwa kuongea upupu japo anayo credibility kubwa na anavutia kusikiliza ila watu wa karibu msaidieni kupata data na kutojifanya anajua..
hii taaluma ya habari nchini nadhani ni wakati mwafaka sasa kuwe na vigezo haijalishi unatenda nini watu wawe na BA YEYOTE ILE HALA MAFUNZO MAFUPI WAPEWE kama mwajiri karidhika na kipaji Vinginevyo upupu matusi kila siku hayataesha...haha eti ndo kwenda na wakati