Clouds hii ndo wanailinganisha na Wasafi ya Diamond?

Clouds haina mshindani, sema tu wananiboa matangazo mengi.
 
Leta takwimu za video za sasa kati ya Clouds tv vs wasafi tv tuone, mwambie huyo jamaa wa Twitter aweke za televisheni kama clouds tv ya sasa itakuwa na viewers hata laki.
.
Radio clouds fm iko mbali sana ila kutangulia sio kufika.
 
Unafanalinganisha redio yenye miaka 19 kwenye industry na redio ambayo hata mwaka haijamaliza na unategemea uonekane una akili timamu? Hizi bangi za utimu mawingu na timu wasafi zinawalewasha vibaya hadi mnakosa akili.
 
Wanaume wa dar mko kama wamama asee!Unazungumziaje wasafi ambayo inasikika dar peke yake?
Duh!Kwa maneno unaweza ukadhani kuna watu kweli kumbe hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio fair kulinganisha wasafi FM/tv na clouds fm/tv.
Clouds wana mda mrefu kwenye game, wanasikika mikoa yote hapa Tanganyika, whilst wasafi ndo kwanza wana mwaka na bado wanasikika mkoa mmoja.
Cha kulinganisha hapo baada ya miaka kama miwili ni fiesta na wasafi festival if the later is sustainable
 
hata msemeje hapa ni MWENDO WA EAST AFRICA RADIO TU MAANA TUNASUKUMILIA NDANI KILA KITU..πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ😍😍😍😍😍
 
hata msemeje hapa ni MWENDO WA EAST AFRICA RADIO TU MAANA TUNASUKUMILIA NDANI KILA KITU..πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ😍😍😍😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…