Clouds hii ndo wanailinganisha na Wasafi ya Diamond?

Labda kuna nyingine hongera ruge mutahabaView attachment 985204

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yaaan unafananisha wasafi iliyoanzishwa mwaka jna katikati n inapatikana dar tu vs station iliyoanzishwa miaka kadhaaa iliyopita n imeweka misingi ya kutosha n inapatikana sehemu nying hapa tanzania...ebu kuwa serious au ni chuki binafsi??hao wasafi wapeni muda wa miaka kadhaa ndipo tuje tutoe maneno lkn sio kwa sasa.....atleast ungesema clouds vs radio one or radio free africa or tbc or east africa radio ambazo zina muda mrefu hapa tz.....tuache uteam let be realistic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe angalia clouds imeanza muda gani na ina umri gani kwenye industry compared to wasafi.. pia angalia clouds inasikika mikoa mingapi na ina patikana kwenye ving'amuzi vya aina gani na je ni dunia nzima au la compared to wasafi. wasafi fm kaanza juzi juzi tu hapa hata miaka hana na vipindi hakuna ila moto wake hauzimwi.
 
Hujaelewa Uzi wangu mkuu .Uzi wangu ni wakuuliza kimshangao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…