Clouds Habari hovyo kabisaaa

Clouds Habari hovyo kabisaaa

hmjamii

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
627
Reaction score
313
Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.

Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anajua kuliko yeyote.
 
Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.
hiyo s radio.LUMUMBA
 
Pale mtangazaji ni Godfrey Kusolwa ni wale wadada, ingawa hawajui kuchague Habari ipi ianze na ipi iwe ya mwisho.
Kingine huyo Kapiga Mara nyingi anaonyesha upande au side kwa Habari zenye pande mbili
 
Habari zao ziko very poor sana. Sipotezagi ht muda kuangalia
 
Ovyo kabisa!
Habari inatakiwa isomwe kama ilivyo, lakini kapiga anajiona anajua kila kitu na kutoa mawazo yake katika kila habari anayosoma
 
Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa kila siku anajifanya anakuja kuliko yeyote.

Clouds wanafanya poa kwny burudani na michezo ila mengn ni hamna kitu

Wananiboa kwny kpengele chao cha mwewe yan hapo ndo wanazngua kabs
 
Back
Top Bottom