Clouds FM wasituchezee akili watanzania wapenda burudani

Clouds FM wasituchezee akili watanzania wapenda burudani

Naskia kaletwa T.I feki... Hahahahha wakati naanzisha hii mada nilishambuliwa sana.. Ngoja tione mwisho wa hii movie ya T.I muuza viatu..

Watanzania so wajinga kiasi hicho kk walete to feki,me sipo leaders wala siendi,wala so shabiki wa fiesta ila naona haisaidii kitu hi I let focus kwny issue za maana.
 
Back
Top Bottom